Native Bible

John 9:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati niko ulimwenguni, mimi ni nuru ya ulimwengu.”

John 9:5 in English

John 9:5 · Berean Standard Bible

While I am in the world, I am the light of the world.”

Context

3Yesu akawajibu, “Huyu mtu wala wazazi wake hawakutenda dhambi. Alizaliwa kipofu ili kazi za Mungu zidhihirishwe katika maisha yake. 4Yanipasa kuzifanya kazi zake yeye aliyenituma wakati bado ni mchana, kwa kuwa usiku waja ambapo hakuna mtu awezaye kufanya kazi. 5Wakati niko ulimwenguni, mimi ni nuru ya ulimwengu.” 6Baada ya kusema haya, akatema mate ardhini, akatengeneza tope kwa mate na kumpaka yule mtu kipofu machoni. 7Kisha akamwambia, “Nenda ukanawe katika bwawa la Siloamu.” (Siloamu maana yake ni aliyetumwa.) Ndipo yule kipofu akaenda, akanawa, naye akarudi akiwa anaona.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.