Yohana 8:10
John 8:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akainuka na kumwambia, “Wako wapi wale waliokuwa wanakuhukumu kuwa mwenye hatia?”
John 8:10 in English
John 8:10 · Berean Standard Bible
Then Jesus straightened up * and asked her, “Woman, where are your accusers?* Has no one condemned you?”
Context
8Akainama tena na kuandika ardhini. 9Waliposikia haya, wakaanza kuondoka mmoja mmoja, wakianzia wazee, hadi Yesu akabaki peke yake na yule mwanamke akiwa amesimama mbele yake. 10Yesu akainuka na kumwambia, “Wako wapi wale waliokuwa wanakuhukumu kuwa mwenye hatia?” 11Yule mwanamke akajibu, “Hakuna hata mmoja Bwana.”
Yesu akamwambia, “Hata mimi sikuhukumu. Nenda zako, kuanzia sasa usitende dhambi tena.”] 12Kisha Yesu akasema nao tena akawaambia, “Mimi ni nuru ya ulimwengu. Mtu yeyote akinifuata hatatembea gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.