Native Bible

John 7:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Acheni kuhukumu mambo kwa jinsi mnavyoona tu, bali hukumuni kwa haki.”

John 7:24 in English

John 7:24 · Berean Standard Bible

Stop judging by outward appearances, and start judging justly.”

Context

22Lakini kwa kuwa Mose aliwaamuru tohara (ingawa kwa kweli haikutoka kwa Mose bali kwa baba zenu wakuu), mnamtahiri mtoto hata siku ya Sabato. 23Ikiwa mtoto aweza kutahiriwa siku ya Sabato kusudi sheria ya Mose isivunjwe, kwa nini mnanikasirikia kwa kumponya mtu mwili wake wote siku ya Sabato? 24Acheni kuhukumu mambo kwa jinsi mnavyoona tu, bali hukumuni kwa haki.” 25Ndipo baadhi ya watu wa Yerusalemu wakawa wanasema, “Tazameni, huyu si yule mtu wanayetaka kumuua? 26Mbona yuko hapa anazungumza hadharani na wala hawamwambii neno lolote? Je, inawezekana viongozi wanafahamu kuwa huyu ndiye Kristo?*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.