Native Bible

John 7:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akawajibu, “Nimefanya muujiza mmoja na nyote mkastaajabu.

John 7:21 in English

John 7:21 · Berean Standard Bible

Jesus answered them, “I did one miracle, and you are all amazed.

Context

19Je, Mose hakuwapa ninyi sheria? Lakini hakuna hata mmoja wenu anayeishika hiyo sheria. Kwa nini mnataka kuniua?” 20Ule umati wa watu ukamjibu, “Wewe una pepo mchafu! Ni nani anayetaka kukuua?” 21Yesu akawajibu, “Nimefanya muujiza mmoja na nyote mkastaajabu. 22Lakini kwa kuwa Mose aliwaamuru tohara (ingawa kwa kweli haikutoka kwa Mose bali kwa baba zenu wakuu), mnamtahiri mtoto hata siku ya Sabato. 23Ikiwa mtoto aweza kutahiriwa siku ya Sabato kusudi sheria ya Mose isivunjwe, kwa nini mnanikasirikia kwa kumponya mtu mwili wake wote siku ya Sabato?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.