Native Bible

John 6:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo wakamuuliza, “Tufanye nini ili tupate kuitenda kazi ya Mungu?”

John 6:28 in English

John 6:28 · Berean Standard Bible

Then they inquired, “What must we do to perform the works of God?”

Context

26Yesu akawajibu, “Amin, amin nawaambia, ninyi hamnitafuti kwa kuwa mliona ishara na miujiza, bali kwa sababu mlikula ile mikate mkashiba. 27Msishughulikie chakula kiharibikacho, bali chakula kidumucho hata uzima wa milele, ambacho Mwana wa Adamu atawapa. Yeye ndiye ambaye Mungu Baba amemtia muhuri.” 28Ndipo wakamuuliza, “Tufanye nini ili tupate kuitenda kazi ya Mungu?” 29Yesu akawajibu, “Kazi ya Mungu ndiyo hii: Mwaminini yeye aliyetumwa naye.” 30Hivyo wakamuuliza, “Utafanya ishara gani ya muujiza, ili tuione tukuamini? Utafanya jambo gani?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.