Native Bible

John 4:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya zile siku mbili, Yesu aliondoka kwenda Galilaya.

John 4:43 in English

John 4:43 · Berean Standard Bible

After two days, Jesus left for Galilee.

Context

41Kwa sababu ya neno lake, watu wengi wakaamini. 42Wakamwambia yule mwanamke, “Sasa tunaamini, wala si kwa sababu ya maneno yako tu, bali kwa kuwa tumemsikia sisi wenyewe. Tumejua hakika kweli ya kwamba huyu ndiye Kristo, Mwokozi wa ulimwengu.” 43Baada ya zile siku mbili, Yesu aliondoka kwenda Galilaya. 44(Basi Yesu mwenyewe alikuwa amesema kwamba nabii hapati heshima katika nchi yake mwenyewe.) 45Alipofika Galilaya, Wagalilaya walimkaribisha, kwani walikuwa wameona yale aliyoyatenda huko Yerusalemu wakati wa Sikukuu ya Pasaka. Kwa maana wao pia walikuwa wamehudhuria hiyo Sikukuu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.