Yohana 20:1
John 20:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Alfajiri na mapema siku ya kwanza ya juma, kulipokuwa kungali giza bado, Maria Magdalene alikwenda kaburini na kukuta lile jiwe limeondolewa penye ingilio.
John 20:1 in English
John 20:1 · Berean Standard Bible
Early on the first day of the week,* while it was still dark, Mary Magdalene went to the tomb and saw that the stone had been removed from the entrance.
Context
1Alfajiri na mapema siku ya kwanza ya juma, kulipokuwa kungali giza bado, Maria Magdalene alikwenda kaburini na kukuta lile jiwe limeondolewa penye ingilio. 2Hivyo akaja akikimbia kwa Simoni Petro pamoja na yule mwanafunzi mwingine ambaye Yesu alimpenda, na kusema, “Wamemwondoa Bwana kaburini, na hatujui walikomweka!” 3Petro na yule mwanafunzi mwingine wakaondoka mara kuelekea kaburini.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.