Yohana 18:7
John 18:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Nao wakamjibu, “Yesu wa Nazareti.”
John 18:7 in English
John 18:7 · Berean Standard Bible
So He asked them again, “Whom are you seeking?” “Jesus of Nazareth,” they answered.
Context
5Wao wakamjibu, “Yesu wa Nazareti.”
Yesu akawajibu, “Mimi ndiye.” Yuda, yule aliyemsaliti alikuwa amesimama pamoja nao. 6Yesu alipowaambia, “Mimi ndiye,” walirudi nyuma na kuanguka chini! 7Akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?”
Nao wakamjibu, “Yesu wa Nazareti.” 8Yesu akawaambia, “Nimekwisha kuwaambia kuwa, mimi ndiye; kwa hiyo kama mnanitafuta mimi, waacheni hawa watu waende zao.” 9Hii ilikuwa ili litimie lile neno alilosema, “Sikumpoteza hata mmoja miongoni mwa wale ulionipa.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.