Native Bible

John 10:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ikiwa sifanyi kazi za Baba yangu, basi msiniamini,

John 10:37 in English

John 10:37 · Berean Standard Bible

If I am not doing the works of My Father, then do not believe Me.

Context

35Kama aliwaita ‘miungu,’ wale ambao neno la Mungu liliwafikia, nayo Maandiko hayawezi kutanguka, 36je, mwawezaje kusema kwamba yule ambaye Baba amemweka wakfu na kumtuma ulimwenguni anakufuru, kwa sababu nilisema, ‘Mimi ni Mwana wa Mungu?’ 37Ikiwa sifanyi kazi za Baba yangu, basi msiniamini, 38lakini ikiwa nazifanya kazi za Mungu, hata kama hamniamini mimi ziaminini hizo kazi, ili mpate kujua na kuelewa kwamba Baba yu ndani yangu, nami ndani yake.” 39Ndipo wakajaribu kumkamata kwa mara nyingine, lakini akaponyoka kutoka mikononi mwao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.