Yeremia 45:4
Jeremiah 45:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana akasema, “Mwambie hivi: ‘Hili ndilo asemalo Bwana: Nitakibomoa kile nilichokijenga, na kungʼoa kile nilichokipanda katika nchi yote.
Jeremiah 45:4 in English
Jeremiah 45:4 · Berean Standard Bible
Thus Jeremiah was to say to Baruch:* “This is what the LORD says: Throughout the land I will demolish what I have built and uproot what I have planted.
Context
2“Hili ndilo Bwana, Mungu wa Israeli, akuambialo wewe Baruku: 3Ulisema, ‘Ole wangu! Bwana ameongeza huzuni juu ya maumivu yangu, nimechoka kwa kulia kwa uchungu wala sipati pumziko.’ ” 4Bwana akasema, “Mwambie hivi: ‘Hili ndilo asemalo Bwana: Nitakibomoa kile nilichokijenga, na kungʼoa kile nilichokipanda katika nchi yote. 5Je, utajitafutia mambo makubwa kwa ajili yako mwenyewe? Usiyatafute hayo. Kwa kuwa nitaleta maangamizi juu ya watu wote, asema Bwana, lakini popote utakapokwenda, nitayaokoa maisha yako.’ ”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.