Yeremia 43:13
Jeremiah 43:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Humo ndani ya hekalu la jua* nchini ya Misri atabomoa nguzo za ibada, na kuteketeza kwa moto mahekalu ya miungu wa Misri.’ ”
Jeremiah 43:13 in English
Jeremiah 43:13 · Berean Standard Bible
He will demolish the sacred pillars of the temple of the sun in the land of Egypt,* and he will burn down the temples of the gods of Egypt.’”
Context
11Atakuja na kuishambulia Misri, akiwaua wale waliokusudiwa kuuawa, awateke mateka wale waliokusudiwa kutekwa, na upanga kwa wale waliokusudiwa upanga. 12Atachoma moto mahekalu yao ya miungu ya Misri, atachoma mahekalu yao na kuteka miungu yao. Kama vile mchungaji ajizungushiavyo vazi lake ndivyo atakavyojizungushia Misri na kuondoka mahali hapo bila kudhurika. 13Humo ndani ya hekalu la jua* nchini ya Misri atabomoa nguzo za ibada, na kuteketeza kwa moto mahekalu ya miungu wa Misri.’ ”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.