Native Bible

Jeremiah 42:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya siku kumi, neno la Bwana likamjia Yeremia.

Jeremiah 42:7 in English

Jeremiah 42:7 · Berean Standard Bible

After ten days the word of the LORD came to Jeremiah,

Context

5Kisha wakamwambia Yeremia, “Bwana na awe shahidi wa kweli na mwaminifu kati yetu kama hatutafanya sawasawa na kila kitu Bwana Mungu wako atakachokutuma utuambie. 6Likiwa jema au likiwa baya, tutamtii Bwana Mungu wetu, ambaye tunakutuma kwake, ili mambo yote yawe mema kwetu, kwa maana tutamtii Bwana Mungu wetu.” 7Baada ya siku kumi, neno la Bwana likamjia Yeremia. 8Kwa hiyo akawaita pamoja Yohanani mwana wa Karea, na maafisa wote wa jeshi waliokuwa pamoja naye na watu wote kuanzia mdogo kabisa hadi aliye mkuu sana. 9Akawaambia, “Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa Israeli, ambaye mlinituma kuwasilisha maombi yenu:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.