Native Bible

Jeremiah 38:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Naye Yeremia akabaki katika ua wa walinzi hadi siku Yerusalemu ilipotekwa.

Jeremiah 38:28 in English

Jeremiah 38:28 · Berean Standard Bible

And Jeremiah remained in the courtyard of the guard until the day Jerusalem was captured.

Context

26basi waambie, ‘Nilikuwa ninamsihi mfalme asinirudishe kwenye nyumba ya Yonathani nisije nikafia humo.’ ” 27Maafisa wote wakamjia Yeremia na kumuuliza, naye Yeremia akawaambia kila kitu mfalme alichomwagiza kusema. Kisha hawakusema lolote zaidi na Yeremia kwa sababu hakuna yeyote aliyesikia mazungumzo yake na mfalme. 28Naye Yeremia akabaki katika ua wa walinzi hadi siku Yerusalemu ilipotekwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.