Native Bible

Jeremiah 33:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati Yeremia alipokuwa angali amefungwa kwenye ua wa walinzi, neno la Bwana lilimjia mara ya pili kusema:

Jeremiah 33:1 in English

Jeremiah 33:1 · Berean Standard Bible

While Jeremiah was still confined in the courtyard of the guard, the word of the LORD came to him a second time:

Context

1Wakati Yeremia alipokuwa angali amefungwa kwenye ua wa walinzi, neno la Bwana lilimjia mara ya pili kusema: 2“Hili ndilo Bwana asemalo, yeye aliyeumba dunia, Bwana aliyeifanya na kuithibitisha, Bwana ndilo jina lake: 3‘Niite nami nitakuitika na kukuambia mambo makuu na yasiyochunguzika, usiyoyajua.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.