Native Bible

Jeremiah 29:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kuhani Sefania, hata hivyo, akamsomea nabii Yeremia ile barua.

Jeremiah 29:29 in English

Jeremiah 29:29 · Berean Standard Bible

(Zephaniah the priest, however, had read this letter to Jeremiah the prophet.)

Context

27Kwa nini basi hukumkemea Yeremia Mwanathothi, aliyejifanya kama nabii miongoni mwenu? 28Ametutumia ujumbe huu huku Babeli: Mtakuwako huko muda mrefu. Kwa hiyo jengeni nyumba mkakae; pandeni mashamba na mle mazao yake.’ ” 29Kuhani Sefania, hata hivyo, akamsomea nabii Yeremia ile barua. 30Ndipo neno la Bwana likamjia Yeremia kusema: 31“Tuma ujumbe huu kwa watu wote walio uhamishoni: ‘Hili ndilo Bwana asemalo kuhusu Shemaya Mnehelami: Kwa sababu Shemaya amewatabiria ninyi, hata ingawa sikumtuma, naye amewafanya kuamini uongo,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.