Waamuzi 4:1
Judges 4:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baada ya Ehudi kufa, Waisraeli wakafanya tena maovu machoni pa Bwana.
Judges 4:1 in English
Judges 4:1 · Berean Standard Bible
After Ehud died, the Israelites again did evil in the sight of the LORD.
Context
1Baada ya Ehudi kufa, Waisraeli wakafanya tena maovu machoni pa Bwana. 2Hivyo Bwana akawatia mikononi mwa Yabini, mfalme wa Kanaani, aliyetawala huko Hazori. Jemadari wa jeshi lake alikuwa Sisera, aliyeishi huko Haroshethi-Hagoyimu* 3Kwa kuwa Sisera alikuwa na magari ya chuma yapatayo 900, naye alikuwa amewatesa Waisraeli kwa ukatili kwa muda wa miaka ishirini, Waisraeli wakamlilia Bwana wakaomba msaada.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.