Waamuzi 20:7
Judges 20:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sasa, ninyi Waisraeli wote, semeni na mtoe uamuzi wenu.”
Judges 20:7 in English
Judges 20:7 · Berean Standard Bible
Behold, all you Israelites, give your advice and verdict here and now.”
Context
5Wakati wa usiku watu wa Gibea wakanijia na kuizingira nyumba, wakitaka kuniua. Wakambaka suria wangu mpaka akafa. 6Ndipo nikamchukua suria wangu, nikamkatakata vipande vipande na kuvipeleka katika nchi yote ya urithi wa Israeli, kwa kuwa wametenda uasherati mkubwa na jambo la aibu katika Israeli. 7Sasa, ninyi Waisraeli wote, semeni na mtoe uamuzi wenu.” 8Watu wote wakainuka wakasema, kama mtu mmoja, “Hakuna hata mmoja wetu atakayekwenda nyumbani. Wala hakuna hata mmoja wetu atakayerudi nyumbani kwake. 9Sasa hili ndilo tutakaloitendea Gibea: Tutaikabili jinsi kura itakavyotuongoza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.