Native Bible

Judges 2:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakapaita mahali pale Bokimu. Nao wakamtolea Bwana sadaka.

Judges 2:5 in English

Judges 2:5 · Berean Standard Bible

So they called that place Bochim * and offered sacrifices there to the LORD.

Context

3Sasa basi ninawaambia kuwa sitawafukuza watoke katikati yenu ila watakuwa miiba kwenu, nao miungu yao itakuwa tanzi kwenu.” 4Malaika wa Bwana alipomaliza kusema mambo haya kwa Waisraeli wote, watu wakalia kwa sauti kuu. 5Wakapaita mahali pale Bokimu. Nao wakamtolea Bwana sadaka. 6Baada ya Yoshua kuwapa watu ruhusa waende zao, Waisraeli wakaenda kwenye urithi wao wenyewe ili kumiliki nchi yao. 7Watu wakamtumikia Bwana siku zote za maisha ya Yoshua, na za hao wazee walioishi baada ya Yoshua kufa, waliokuwa wameona mambo makuu ambayo Bwana alikuwa ametenda kwa ajili ya Israeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.