Waamuzi 12:14
Judges 12:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Naye akazaa wana arobaini na wana wa wanawe thelathini waliopanda punda sabini. Akawa mwamuzi wa Israeli kwa muda wa miaka minane.
Judges 12:14 in English
Judges 12:14 · Berean Standard Bible
He had forty sons and thirty grandsons, who rode on seventy donkeys. And he judged Israel eight years.
Context
12Kisha Eloni akafa, akazikwa katika Aiyaloni, katika nchi ya Zabuloni. 13Baada yake, Abdoni mwana wa Hileli, Mpirathoni, akawa mwamuzi wa Israeli. 14Naye akazaa wana arobaini na wana wa wanawe thelathini waliopanda punda sabini. Akawa mwamuzi wa Israeli kwa muda wa miaka minane. 15Ndipo Abdoni mwana wa Hileli, Mpirathoni, akafa, naye akazikwa huko Pirathoni katika Efraimu, katika nchi ya vilima ya Waamaleki.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.