Yakobo 5:20
James 5:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
hamna budi kujua kwamba yeyote amrejezaye mwenye dhambi kutoka upotovu wake, ataiokoa roho ya huyo mwenye dhambi kutoka mauti na kusitiri wingi wa dhambi.
James 5:20 in English
James 5:20 · Berean Standard Bible
consider this: Whoever turns a sinner from the error of his way will save his soul from death and cover over a multitude of sins.
Context
18Kisha akaomba tena, nazo mbingu zikatoa mvua nayo ardhi ikatoa mazao yake. 19Ndugu zangu, yeyote miongoni mwenu akipotoka na kuicha kweli, naye akarejezwa na mtu mwingine, 20hamna budi kujua kwamba yeyote amrejezaye mwenye dhambi kutoka upotovu wake, ataiokoa roho ya huyo mwenye dhambi kutoka mauti na kusitiri wingi wa dhambi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.