Yakobo 3:18
James 3:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mavuno ya haki hupandwa katika amani na wale wafanyao amani.
James 3:18 in English
James 3:18 · Berean Standard Bible
Peacemakers who sow in peace reap the fruit of righteousness.*
Context
16Kwa maana panapokuwa na wivu na ubinafsi, ndipo penye machafuko na uovu wa kila namna. 17Lakini hekima itokayo mbinguni kwanza ni safi, kisha inapenda amani, tena ni ya upole, iliyo tayari kusikiliza wengine kwa unyenyekevu, iliyojaa huruma na matunda mema, isiyopendelea mtu, tena isiyokuwa na unafiki. 18Mavuno ya haki hupandwa katika amani na wale wafanyao amani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.