Yakobo 1:20
James 1:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mungu.
James 1:20 in English
James 1:20 · Berean Standard Bible
for man’s anger does not bring about the righteousness that God desires.
Context
18Kwa mapenzi yake mwenyewe alituzaa kwa neno la kweli, kusudi tuwe kama mazao ya kwanza katika viumbe vyake vyote. 19Ndugu zangu wapendwa, fahamuni jambo hili: Kila mtu awe mwepesi wa kusikiliza, lakini asiwe mwepesi wa kusema wala wa kukasirika. 20Kwa maana hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mungu. 21Kwa hiyo, ondoleeni mbali uchafu wote na uovu ambao umezidi kuwa mwingi, mkalipokee kwa unyenyekevu lile Neno lililopandwa ndani yenu ambalo laweza kuokoa nafsi zenu. 22Basi kuweni watendaji wa Neno wala msiwe wasikiaji tu, huku mkijidanganya nafsi zenu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.