Isaya 8:1
Isaiah 8:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana akaniambia, “Chukua gombo kubwa, uandike juu yake kwa kalamu ya kawaida jina: Maher-Shalal-Hash-Bazi.*
Isaiah 8:1 in English
Isaiah 8:1 · Berean Standard Bible
Then the LORD said to me, “Take a large scroll and write on it with an ordinary * stylus: Maher-shalal-hash-baz.*
Context
1Bwana akaniambia, “Chukua gombo kubwa, uandike juu yake kwa kalamu ya kawaida jina: Maher-Shalal-Hash-Bazi.* 2Nami nitawaita kuhani Uria, na Zekaria mwana wa Yeberekia kama mashahidi wangu waaminifu.” 3Kisha nikaenda kwa nabii mke, naye akapata mimba, akazaa mwana. Kisha Bwana akaniambia, “Mwite huyo mtoto Maher-Shalal-Hash-Bazi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.