Isaya 66:23
Isaiah 66:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kutoka Mwezi Mpya hata mwingine, na kutoka Sabato hadi nyingine, wanadamu wote watakuja na kusujudu mbele zangu,” asema Bwana.
Isaiah 66:23 in English
Isaiah 66:23 · Berean Standard Bible
From one New Moon to another and from one Sabbath to another, all mankind will come to worship before Me,” says the LORD.
Context
21Nami nitachagua baadhi yao pia wawe makuhani na Walawi,” asema Bwana. 22“Kama vile mbingu mpya na nchi mpya ninazozifanya zitakavyodumu mbele zangu,” asema Bwana, “ndivyo jina lenu na wazao wenu watakavyodumu. 23Kutoka Mwezi Mpya hata mwingine, na kutoka Sabato hadi nyingine, wanadamu wote watakuja na kusujudu mbele zangu,” asema Bwana. 24“Nao watatoka nje na kuona maiti za wale walioniasi mimi. Funza wao hawatakufa, wala moto wao hautazimika, nao watakuwa kitu cha kuchukiza sana kwa wanadamu wote.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.