Isaya 55:13
Isaiah 55:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Badala ya kichaka cha miiba itaota miti ya misunobari, na badala ya michongoma utaota mhadasi.* Hili litakuwa jambo la kumpatia Bwana jina, kwa ajili ya ishara ya milele, ambayo haitaharibiwa.”
Isaiah 55:13 in English
Isaiah 55:13 · Berean Standard Bible
Instead of the thornbush, a cypress * will grow, and instead of the brier, a myrtle will spring up; they will make a name for the LORD, an everlasting sign, never to be destroyed.”
Context
11ndivyo lilivyo neno langu lile litokalo kinywani mwangu:
Halitanirudia tupu,
bali litatimiliza lile nililokusudia
na litafanikiwa katika kusudi lile nililolituma. 12Mtatoka nje kwa furaha
na kuongozwa kwa amani;
milima na vilima
vitapaza sauti kwa nyimbo mbele yenu,
nayo miti yote ya shambani
itapiga makofi. 13Badala ya kichaka cha miiba
itaota miti ya misunobari,
na badala ya michongoma
utaota mhadasi.*
Hili litakuwa jambo la kumpatia Bwana jina,
kwa ajili ya ishara ya milele,
ambayo haitaharibiwa.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.