Native Bible

Isaiah 20:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale waliotegemea Kushi na kujivunia Misri wataogopa na kuaibika.

Isaiah 20:5 in English

Isaiah 20:5 · Berean Standard Bible

Those who made Cush their hope and Egypt their boast will be dismayed and ashamed.

Context

3Kisha Bwana akasema, “Kama vile mtumishi wangu Isaya alivyotembea uchi na bila viatu kwa miaka mitatu, kama ishara na dalili mbaya dhidi ya nchi ya Misri na Kushi, 4vivyo hivyo mfalme wa Ashuru atawaongoza mateka wa Wamisri, na watu wa uhamisho wa Kushi, uchi na bila viatu, vijana hata wazee, wakiwa matako wazi, kwa aibu ya Wamisri. 5Wale waliotegemea Kushi na kujivunia Misri wataogopa na kuaibika. 6Katika siku ile watu wanaoishi katika pwani hii watasema, ‘Tazama lililowapata wale tuliowategemea, wale tuliowakimbilia kwa msaada na wokovu kutoka mikononi mwa mfalme wa Ashuru! Tutawezaje basi kupona?’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.