Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Israeli ananililia, ‘Ee Mungu wetu, tunakukubali!’

Hosea 8:2 in English

Hosea 8:2 · Berean Standard Bible

Israel cries out to Me, “O our God, we know You!”

Context

1“Wekeni tarumbeta midomoni mwenu! Tai yuko juu ya nyumba ya Bwana kwa sababu watu wamevunja Agano langu, wameasi dhidi ya sheria yangu. 2Israeli ananililia, ‘Ee Mungu wetu, tunakukubali!’ 3Lakini Israeli amekataa lile lililo jema, adui atamfuatia. 4Wanaweka wafalme bila idhini yangu, wamechagua wakuu bila kibali changu. Kwa fedha zao na dhahabu wamejitengenezea sanamu kwa ajili ya maangamizi yao wenyewe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.