Waebrania 8:13
Hebrews 8:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa kuliita agano hili “jipya,” Mungu amefanya lile agano la kwanza kuwa kuukuu; nacho kitu kinachoanza kuchakaa na kuwa kikuukuu kiko karibu kutoweka.
Hebrews 8:13 in English
Hebrews 8:13 · Berean Standard Bible
By speaking of a new covenant,* He has made the first one obsolete; and what is obsolete and aging will soon disappear.
Context
11Mtu hatamfundisha tena jirani yake,
wala mtu kumfundisha ndugu yake akisema, ‘Mjue Bwana,’
kwa sababu wote watanijua mimi,
tangu aliye mdogo kabisa kwao, hadi aliye mkuu sana. 12Kwa sababu nitasamehe uovu wao,
wala sitazikumbuka dhambi zao tena!” 13Kwa kuliita agano hili “jipya,” Mungu amefanya lile agano la kwanza kuwa kuukuu; nacho kitu kinachoanza kuchakaa na kuwa kikuukuu kiko karibu kutoweka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.