Native Bible

Hebrews 13:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu Kristo ni yeye yule jana, leo na hata milele.

Hebrews 13:8 in English

Hebrews 13:8 · Berean Standard Bible

Jesus Christ is the same yesterday and today and forever.

Context

6Kwa hiyo tunaweza kusema kwa ujasiri, “Bwana ni msaada wangu; sitaogopa. Mwanadamu anaweza kunitenda nini?” 7Wakumbukeni viongozi wenu, wale waliowaambia neno la Mungu. Angalieni matokeo ya mwenendo wa maisha yao mkaiige imani yao. 8Yesu Kristo ni yeye yule jana, leo na hata milele. 9Msichukuliwe na kila aina ya mafundisho ya kigeni. Ni vyema mioyo yenu iimarishwe kwa neema, wala si kwa sheria kuhusu utaratibu wa vyakula, ambavyo havina faida kwa wale wanaozishika hizo sheria. 10Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaohudumu katika hema hawana haki ya kula vile vitu vilivyowekwa juu yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.