Native Bible

Genesis 50:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mlikusudia kunidhuru, lakini Mungu alikusudia mema, ili litimie hili linalofanyika sasa, kuokoa maisha ya watu wengi.

Genesis 50:20 in English

Genesis 50:20 · Berean Standard Bible

As for you, what you intended against me for evil, God intended for good, in order to accomplish a day like this—to preserve the lives of many people.

Context

18Ndipo ndugu zake wakaja na kujitupa chini mbele yake. Wakasema, “Sisi ni watumwa wako.” 19Lakini Yosefu akawaambia, “Msiogope. Je, mimi ni badala ya Mungu? 20Mlikusudia kunidhuru, lakini Mungu alikusudia mema, ili litimie hili linalofanyika sasa, kuokoa maisha ya watu wengi. 21Hivyo basi, msiogope. Mimi nitawatunza ninyi nyote pamoja na watoto wenu.” Akawahakikishia na kusema nao kwa wema. 22Yosefu akakaa katika nchi ya Misri, yeye pamoja na jamaa yote ya baba yake. Akaishi miaka 110,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.