Mwanzo 40:12
Genesis 40:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yosefu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Matawi matatu ni siku tatu.
Genesis 40:12 in English
Genesis 40:12 · Berean Standard Bible
Joseph replied, “This is the interpretation: The three branches are three days.
Context
10nao mzabibu ulikuwa na matawi matatu. Mara tu ulipoanza kuchipua, maua yalichanua na vishada vyake vikawa zabibu zilizoiva. 11Kikombe cha Farao kilikuwa mkononi mwangu, nikazitwaa zabibu, nikazikamua katika kikombe cha Farao, na nikaweka kikombe mkononi mwake.” 12Yosefu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Matawi matatu ni siku tatu. 13Katika siku hizi tatu, Farao atakutoa gerezani na kukuweka tena kwenye nafasi yako, nawe utaweka kikombe cha Farao mikononi mwake, kama vile ulivyokuwa unafanya ulipokuwa mnyweshaji wake. 14Lakini wakati mambo yatakapokuwia mazuri, unikumbuke, unifanyie wema, useme mema juu yangu kwa Farao ili niondoke huku gerezani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.