Mwanzo 27:46
Genesis 27:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha Rebeka akamwambia Isaki, “Nimechukia kuishi kwa sababu ya hawa wanawake wa Kihiti. Ikiwa Yakobo ataoa mke miongoni mwa wanawake wa nchi hii, wanawake wa Kihiti kama hawa, sitakuwa na faida kuendelea kuishi.”
Genesis 27:46 in English
Genesis 27:46 · Berean Standard Bible
Then Rebekah said to Isaac, “I am weary of my life because of these Hittite women.* If Jacob takes a Hittite wife from among them, what good is my life?”
Context
44Ukae naye kwa muda mpaka ghadhabu ya ndugu yako itulie. 45Wakati ndugu yako atakapokuwa hana hasira nawe tena na amesahau uliyomtendea, nitakupelekea ujumbe urudi. Kwa nini niwapoteze wote wawili kwa siku moja?” 46Kisha Rebeka akamwambia Isaki, “Nimechukia kuishi kwa sababu ya hawa wanawake wa Kihiti. Ikiwa Yakobo ataoa mke miongoni mwa wanawake wa nchi hii, wanawake wa Kihiti kama hawa, sitakuwa na faida kuendelea kuishi.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.