Native Bible

Genesis 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo mbingu na dunia zikakamilika, pamoja na vyote vilivyomo.

Genesis 2:1 in English

Genesis 2:1 · Berean Standard Bible

Thus the heavens and the earth were completed in all their vast array.

Context

1Kwa hiyo mbingu na dunia zikakamilika, pamoja na vyote vilivyomo. 2Katika siku ya saba Mungu alikuwa amekamilisha kazi aliyokuwa akiifanya, hivyo siku ya saba akapumzika kutoka kazi zake zote. 3Mungu akaibariki siku ya saba akaifanya takatifu, kwa sababu katika siku hiyo alipumzika kutoka kazi zote za kuumba alizokuwa amefanya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.