Native Bible

Genesis 18:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Abrahamu akamsogelea akasema: “Je, utawaangamiza wenye haki na waovu?

Genesis 18:23 in English

Genesis 18:23 · Berean Standard Bible

Abraham stepped forward and said, “Will You really sweep away the righteous with the wicked?

Context

21kwamba nitashuka nione kama waliyoyatenda ni mabaya kiasi cha kilio kilichonifikia. Kama sivyo, nitajua.” 22Basi wale watu wakageuka wakaenda kuelekea Sodoma, lakini Abrahamu akabaki amesimama mbele za Bwana. 23Ndipo Abrahamu akamsogelea akasema: “Je, utawaangamiza wenye haki na waovu? 24Je, ikiwa watakuwepo watu wenye haki hamsini katika mji huo, hivi kweli utauangamiza na wala hutauacha kwa ajili ya hao watu hamsini wenye haki waliomo ndani yake? 25Hilo na liwe mbali nawe, kufanya jambo kama hilo, kuwaua wenye haki pamoja na waovu, kuwatendea wenye haki sawasawa na waovu. Iwe mbali nawe! Je, Mwamuzi wa dunia yote hatafanya lililo sawa?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.