Native Bible

Genesis 17:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtafanyiwa tohara na hii itakuwa ni alama ya Agano kati yangu na ninyi.

Genesis 17:11 in English

Genesis 17:11 · Berean Standard Bible

You are to circumcise the flesh of your foreskin, and this will be a sign of the covenant between Me and you.

Context

9Ndipo Mungu akamwambia Abrahamu, “Kwa upande wako, lazima ushike Agano langu, wewe na wazao wako kwa ajili ya vizazi vijavyo. 10Hili ni Agano langu na wewe pamoja na wazao wako baada yako, Agano mtakalolishika: Kila mwanaume miongoni mwenu atatahiriwa. 11Mtafanyiwa tohara na hii itakuwa ni alama ya Agano kati yangu na ninyi. 12Kwa vizazi vijavyo, kila mwanaume miongoni mwenu mwenye siku nane ni lazima atahiriwe, pamoja na watakaozaliwa nyumbani mwako au walionunuliwa kwa fedha kutoka kwa mgeni, wale ambao sio watoto wako. 13Awe amezaliwa nyumbani mwako au amenunuliwa kwa fedha yako, ni lazima watahiriwe. Agano langu katika mwili wako litakuwa ni Agano la milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.