Mwanzo 15:6
Genesis 15:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Abramu akamwamini Bwana, naye kwake hili likahesabiwa kuwa haki.
Genesis 15:6 in English
Genesis 15:6 · Berean Standard Bible
Abram believed the LORD, and it was credited to him as righteousness.*
Context
4Ndipo neno la Bwana lilipomjia: “Mtu huyu hatakuwa mrithi wako, bali mwana atakayetoka katika viuno vyako mwenyewe ndiye atakayekuwa mrithi wako.” 5Akamtoa nje na kusema, “Tazama juu kuelekea mbinguni na uhesabu nyota, kama hakika utaweza kuzihesabu.” Ndipo akamwambia, “Hivyo ndivyo uzao wako utakavyokuwa.” 6Abramu akamwamini Bwana, naye kwake hili likahesabiwa kuwa haki. 7Pia akamwambia, “Mimi ndimi Bwana, niliyekutoa toka Uru ya Wakaldayo nikupe nchi hii uimiliki.” 8Lakini Abramu akasema, “Ee Bwana Mwenyezi, nitawezaje kujua kwamba nitapata kuimiliki?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.