Native Bible

Genesis 15:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

yaani nchi ya Wakeni, Wakenizi, Wakadmoni,

Genesis 15:19 in English

Genesis 15:19 · Berean Standard Bible

the land of the Kenites, Kenizzites, Kadmonites,

Context

17Wakati jua lilipokuwa limezama na giza limeingia, tanuru la moshi na mwali wa moto unaowaka vikatokea na kupita kati ya vile vipande vya nyama. 18Siku hiyo Bwana akafanya Agano na Abramu, na kumwambia, “Nitawapa wazao wako nchi hii, kuanzia Kijito cha Misri* hadi mto ule mkubwa, Frati, 19yaani nchi ya Wakeni, Wakenizi, Wakadmoni, 20Wahiti, Waperizi, Warefai, 21Waamori, Wakanaani, Wagirgashi na Wayebusi.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.