Mwanzo 15:1
Genesis 15:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baada ya jambo hili, neno la Bwana likamjia Abramu katika maono: “Usiogope, Abramu. Mimi ni ngao yako, na thawabu yako kubwa sana.”
Genesis 15:1 in English
Genesis 15:1 · Berean Standard Bible
After these events, the word of the LORD came to Abram in a vision: “Do not be afraid, Abram. I am your shield, your very great reward.”
Context
1Baada ya jambo hili, neno la Bwana likamjia Abramu katika maono:
“Usiogope, Abramu.
Mimi ni ngao yako,
na thawabu yako kubwa sana.” 2Lakini Abramu akasema, “Ee Bwana Mwenyezi, utanipa nini na mimi sina hata mtoto na atakayerithi nyumba yangu ni huyu Eliezeri Mdameski?” 3Abramu akasema, “Hukunipa watoto, hivyo mtumishi katika nyumba yangu ndiye atakuwa mrithi wangu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.