Native Bible

Galatians 5:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

upole na kiasi. Katika mambo kama haya hakuna sheria.

Galatians 5:23 in English

Galatians 5:23 · Berean Standard Bible

gentleness, and self-control. Against such things there is no law.

Context

21husuda, ulevi, ulafi na mambo mengine yanayofanana na hayo. Nawaonya, kama nilivyokwisha kuwaonya kabla, kwamba watu watendao mambo kama hayo, hawataurithi Ufalme wa Mungu. 22Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23upole na kiasi. Katika mambo kama haya hakuna sheria. 24Wote walio wa Kristo Yesu wameusulubisha mwili na shauku zake pamoja na tamaa zake. 25Kwa kuwa tunaishi kwa Roho, basi, tuenende kwa Roho.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.