Native Bible

Galatians 2:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

hatukukubaliana nao hata dakika moja, ili kwamba ukweli wa Injili ubaki nanyi.

Galatians 2:5 in English

Galatians 2:5 · Berean Standard Bible

We did not give in to them for a moment, so that the truth of the gospel would remain with you.

Context

3Lakini hata Tito ambaye alikuwa Myunani, hakulazimika kutahiriwa. 4Lakini kwa sababu ya ndugu wa uongo ambao walijiingiza kwa siri katikati yetu ili kupeleleza uhuru wetu tulio nao katika Kristo Yesu, wapate kututia utumwani, 5hatukukubaliana nao hata dakika moja, ili kwamba ukweli wa Injili ubaki nanyi. 6Kwa habari ya wale waliokuwa wakubaliwe kuwa viongozi (kwangu mimi sikujali vyeo vyao, maana Mungu hana upendeleo), wale watu hawakuniongezea chochote. 7Badala yake walitambua kwamba nilikuwa nimekabidhiwa kazi ya kuhubiri Injili kwa watu wa Mataifa, kama vile Petro alivyokabidhiwa kuhubiri Injili kwa Wayahudi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.