Ezra 8:3
Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wa wazao wa Shekania; wa wazao wa Paroshi, alikuwa Zekaria, na watu 150 walioandikishwa pamoja naye;
Ezra 8:3 in English
Ezra 8:3 · Berean Standard Bible
of the descendants of Shecaniah; from the descendants of Parosh, Zechariah, and with him were registered 150 men;
Context
1Hawa ndio viongozi wa jamaa pamoja na wale walioandikwa ambao walikuja pamoja nami kutoka Babeli wakati wa utawala wa Mfalme Artashasta: 2wa wazao wa Finehasi, alikuwa Gershoni;
wa wazao wa Ithamari, alikuwa Danieli;
wa wazao wa Daudi, alikuwa Hatushi 3wa wazao wa Shekania;
wa wazao wa Paroshi, alikuwa Zekaria, na watu 150 walioandikishwa pamoja naye; 4wa wazao wa Pahath-Moabu, alikuwa Eliehoenai mwana wa Zerahia na wanaume 200 pamoja naye; 5wa wazao wa Zatu, alikuwa Shekania mwana wa Yahazieli na wanaume 300 pamoja naye;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.