Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

mwana wa Amaria, mwana wa Azaria, mwana wa Merayothi,

Ezra 7:3 in English

Ezra 7:3 · Berean Standard Bible

the son of Amariah, the son of Azariah, the son of Meraioth,

Context

1Baada ya mambo haya, wakati wa utawala wa Artashasta mfalme wa Uajemi, Ezra mwana wa Seraya, mwana wa Azaria, mwana wa Hilkia, 2mwana wa Shalumu, mwana wa Sadoki, mwana wa Ahitubu, 3mwana wa Amaria, mwana wa Azaria, mwana wa Merayothi, 4mwana wa Zerahia, mwana wa Uzi, mwana wa Buki, 5mwana wa Abishua, mwana wa Finehasi, mwana wa Eleazari, mwana wa kuhani mkuu Aroni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.