Native Bible

Ezekiel 48:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Urefu wote kuzunguka utakuwa dhiraa 18,000.* “Nalo jina la mji huo kuanzia wakati huo na kuendelea litakuwa: Bwana yupo hapa.”

Ezekiel 48:35 in English

Ezekiel 48:35 · Berean Standard Bible

The perimeter of the city will be 18,000 cubits,* and from that day on the name of the city will be: THE LORD IS THERE.*”

Context

33“Upande wa kusini, wenye urefu wa dhiraa 4,500, utakuwa na malango matatu: lango la Simeoni, lango la Isakari na lango la Zabuloni. 34“Upande wa magharibi, wenye urefu wa dhiraa 4,500, utakuwa na malango matatu: lango la Gadi, lango la Asheri na lango la Naftali. 35“Urefu wote kuzunguka utakuwa dhiraa 18,000.* “Nalo jina la mji huo kuanzia wakati huo na kuendelea litakuwa: Bwana yupo hapa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.