Native Bible

Ezekiel 44:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kuhani yeyote asinywe mvinyo aingiapo katika ukumbi wa ndani.

Ezekiel 44:21 in English

Ezekiel 44:21 · Berean Standard Bible

No priest may drink wine before he enters the inner court.

Context

19Watakapotoka ili kuingia katika ukumbi wa nje mahali watu walipo, watavua nguo walizokuwa wakihudumu nazo na wataziacha katika vyumba vitakatifu nao watavaa nguo nyingine, ili kwamba wasije wakaambukiza watu utakatifu kwa njia ya mavazi yao. 20“ ‘Hawatanyoa nywele za vichwa vyao wala kuziacha ziwe ndefu, bali watazipunguza. 21Kuhani yeyote asinywe mvinyo aingiapo katika ukumbi wa ndani. 22Wasioe wanawake wajane wala walioachika, inawapasa kuoa wanawake bikira wenye heshima wa Israeli au wajane wa makuhani. 23Watawafundisha watu wangu tofauti kati ya vitu vitakatifu na vitu vya kawaida na kuwaonyesha jinsi ya kupambanua kati ya vitu najisi na vitu safi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.