Native Bible

Ezekiel 34:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Neno la Bwana likanijia kusema:

Ezekiel 34:1 in English

Ezekiel 34:1 · Berean Standard Bible

Then the word of the LORD came to me, saying,

Context

1Neno la Bwana likanijia kusema: 2“Mwanadamu, tabiri juu ya wachungaji wa Israeli, tabiri na uwaambie: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Ole wa wachungaji wa Israeli ambao hujitunza wenyewe tu! Je, haiwapasi wachungaji kutunza kundi la kondoo? 3Mnakula mafuta ya wanyama, mnavaa mavazi ya sufu na kuchinja kondoo walionona, lakini hamlitunzi kundi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.