Native Bible

Ezekiel 26:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwaka wa kumi na moja, siku ya kwanza ya mwezi, neno la Bwana likanijia kusema:

Ezekiel 26:1 in English

Ezekiel 26:1 · Berean Standard Bible

In the eleventh month of the twelfth year,* on the first day of the month, the word of the LORD came to me, saying,

Context

1Mwaka wa kumi na moja, siku ya kwanza ya mwezi, neno la Bwana likanijia kusema: 2“Mwanadamu, kwa sababu Tiro amesema kuhusu Yerusalemu, ‘Aha! Lango la kwenda kwa mataifa limevunjika, nayo milango yake iko wazi mbele yangu, sasa kwa kuwa amekuwa magofu nitastawi.’ 3Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Mimi niko kinyume na wewe, ee Tiro, nami nitaleta mataifa mengi dhidi yako, kama bahari inayovurumisha mawimbi yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.