Ezekieli 20:2
Ezekiel 20:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo neno la Bwana likanijia kusema:
Ezekiel 20:2 in English
Ezekiel 20:2 · Berean Standard Bible
Then the word of the LORD came to me, saying,
Context
1Katika mwaka wa saba, mwezi wa tano siku ya kumi, baadhi ya wazee wa Israeli wakaja ili kutaka ushauri kwa Bwana, wakaketi mbele yangu. 2Ndipo neno la Bwana likanijia kusema: 3“Mwanadamu, sema na wazee wa Israeli uwaambie, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Kwa nini mmekuja? Je, ni kutaka ushauri kwangu? Hakika kama niishivyo, sitawaruhusu mtake ushauri toka kwangu, asema Bwana Mwenyezi.’ 4“Je, utawahukumu? Je, mwanadamu, utawahukumu? Basi uwakabili kwa ajili ya machukizo ya baba zao
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.