Native Bible

Ezekiel 20:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini niliwahurumia wala sikuwaangamiza wala hakuwafuta kabisa jangwani.

Ezekiel 20:17 in English

Ezekiel 20:17 · Berean Standard Bible

Yet I looked on them with pity and did not destroy them or bring them to an end in the wilderness.

Context

15Tena kwa mkono ulioinuliwa nikawaapia huko jangwani kwamba nisingewaingiza katika nchi niliyokuwa nimewapa, yaani, nchi itiririkayo maziwa na asali, nchi nzuri kuliko zote, 16kwa sababu walikataa sheria zangu na hawakufuata amri zangu na wakazinajisi Sabato zangu. Kwa kuwa mioyo yao iliandama sanamu zao. 17Lakini niliwahurumia wala sikuwaangamiza wala hakuwafuta kabisa jangwani. 18Niliwaambia watoto wao kule jangwani, “Msifuate amri za baba zenu wala kushika sheria zao au kujinajisi kwa sanamu zao. 19Mimi ndimi Bwana, Mungu wenu, fuateni amri zangu tena kuweni waangalifu kushika sheria zangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.