Ezekieli 19:13
Ezekiel 19:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sasa umepandwa jangwani katika nchi kame na ya kiu.
Ezekiel 19:13 in English
Ezekiel 19:13 · Berean Standard Bible
Now it is planted in the wilderness, in a dry and thirsty land.
Context
11Matawi yake yalikuwa na nguvu,
yaliyofaa kuwa fimbo ya enzi ya mtawala.
Ulikuwa mrefu kupita miti mingine
katikati ya matawi manene;
ulionekana kwa urahisi
kwa ajili ya urefu wake
na wingi wa matawi yake. 12Lakini ulingʼolewa kwa hasira kali
na kutupwa chini.
Upepo wa mashariki uliufanya usinyae,
matunda yake yakapukutika,
matawi yake yenye nguvu yakanyauka
na moto ukayateketeza. 13Sasa umepandwa jangwani
katika nchi kame na ya kiu. 14Moto ulienea kuanzia katika mmojawapo ya matawi yake makubwa
na kuteketeza matunda yake.
Hakuna tawi lenye nguvu lililobaki juu yake
lifaalo kuwa fimbo ya enzi ya mtawala.’
Hili ndilo ombolezo, na litumike kama ombolezo.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.