Ezekieli 16:2
Ezekiel 16:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Mwanadamu, ijulishe Yerusalemu kuhusu mwenendo wake wa machukizo
Ezekiel 16:2 in English
Ezekiel 16:2 · Berean Standard Bible
“Son of man, confront Jerusalem with her abominations
Context
1Neno la Bwana likanijia kusema: 2“Mwanadamu, ijulishe Yerusalemu kuhusu mwenendo wake wa machukizo 3na useme, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi, analomwambia Yerusalemu: Wewe asili yako na kuzaliwa kwako ni katika nchi ya Kanaani, baba yako alikuwa Mwamori, naye mama yako alikuwa Mhiti. 4Siku uliyozaliwa kitovu chako hakikukatwa, wala hukuogeshwa kwa maji ili kukufanya safi, wala hukusuguliwa kwa chumvi wala kufunikwa kwa nguo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.